Friday, August 14, 2009

DUH HUU UKATILI GANI ALEX!!!!!

HUYO NDIO ALEX DAMIAN AKIWA ANAMBANIKA MTOTO WAKE WA KUFIKIA KATIKA JIKO LA KUOKEA. NINI KISA FUATILIA FILAMU YA LONELY ITAKAYOKUWA MADUKANI HIVI KARIBUNI.

Thursday, August 13, 2009

WAONGOZAJI WA LONELY HAO

Juu ni Joseph Lugendo akijiandaa kumalizia vipande vya Lonely na chini ni Juma Jumanne akitengeza jiko alilochomewa Lonely. Usiikose hiyo filamu.

Duh Msela katili eh?

scene hii inapatikana ndani ya filamu ya lonely iliyojaa mapenzi na uongo wa hali ya juu. kutana na waigizaji wako chipukizi lakini wenye vipaji vya hali ya juu chini ya uongozi wa Joseph Alex Lugendo.